BUNGE LA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho Mhe. Rais Dkt. Samia atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Soma zaidi »

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ . BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA, KIKAO CHA 45, 12 JUNI 2025

ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO I.DUA II.HATI ZA KUWASILISHA MEZANI III.MASWALI IV.HOJA ZA SERIKALI #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA KIKAO CHA KUMI NA SABA, 05 MAY 2025.

#ijuesheria #section4wakilitv #chadema #bungelive #ijuesheria #section4wakilitv #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA KIKAO CHA KUMI NA TANO, 30 APRILI 2025

Leo tarehe 30/04/2025, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepokea Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Katika hotuba hii muhimu, Waziri wa Katiba na Sheria anawasilisha mipango, mafanikio, changamoto na makadirio ya bajeti kwa mwaka ujao wa fedha, kwa lengo la …

Soma zaidi »

YALIYOONEKANA KUWA MAGUMU YAMEWEZEKANA KWA RAIS SAMIA- NAIBU SPIKA MUSSA AZAN ZUNGU

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi ya …

Soma zaidi »

TAZAMA LIVE: MKUTANO WA 5 WA SERIKALI MTANDAO – MAPINDUZI YA KIDIJITALI TANZANIA.

TAZAMA LIVE: MKUTANO WA TANO WA SERIKALI MTANDAO Karibu ufuatilie moja kwa moja Mkutano wa Tano wa Serikali Mtandao, tukio muhimu linaloangazia teknolojia za kidijitali katika kuboresha utoaji wa huduma za umma, uwazi, na uwajibikaji serikalini. Mkutano huu unaleta pamoja wataalamu wa teknolojia, viongozi wa serikali, na wadau mbalimbali wanaojadili …

Soma zaidi »

LIVE: BUNGE LA 12 MKUTANO WA 18 | KIKAO CHA 10 | TAREHE 10 FEBRUARI 2025 – YALIYOJIRI ASUBUHI!

πŸ“Ί LIVE: Bunge la 12 | Mkutano wa 18 | Kikao cha 10 | Tarehe 10 Februari, 2025 | Asubuhi Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya Kikao cha 10 cha Mkutano wa 18 wa Bunge la 12! Leo, wabunge wako tayari kujadili na kupitisha maamuzi muhimu yanayogusa maendeleo …

Soma zaidi »

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini wahakikishe vipaumbele vilivyoanishwa kwenye Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/2026 vinatafsiriwa vema kwenye mipango ya Taasisi zao

Amesema mpango huo umejikita katika kuendeleza na kukamilisha utekelezaji wa afua zinazotoa matokeo ya maeneo matano ya kipaumbele ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Novemba 8, 2024) wakati akiahirisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 Bungeni jijini Dodoma, …

Soma zaidi »