Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.
Soma zaidi »“NILIKATA TAMAA LAKINI MAMA YANGU ALINIAMBIA BADO KUNA TUMAINI LEO NINA KAZI YANGU”KIJANA MJASIAMALI
“Nilikata Tamaa, Lakini Mama Yangu Aliniambia Bado Kuna Tumaini Leo Nina Kazi Yangu” Kijana Mjasiriamali Hii ni kauli yenye uzito mkubwa inayobeba simulizi ya maumivu, matumaini na ushindi. Ni sauti ya kijana aliyewahi kuona giza mbele, lakini akashika mkono wa mama yake, akaamini tena, akaamka na leo anasimama akiwa na …
Soma zaidi »Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kuendeleza juhudi za kutafuta masoko ya nje ili kuongeza mauzo yatakayowezesha nchi kupata fedha za Kigeni.
Amesema kuwa TanTrade inapaswa kufanya tafiti za uhakika na uchambuzi wa masoko ambayo bidhaa za Tanzania zinaweza kuuzwa na kutoa taarifa hizo kwa wafanyabiashara kote nchini. Ametoa agizo hilo (Jumapili, Julai 13, 2025) alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufungaji wa Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya …
Soma zaidi »ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA IKITOLEWA MUBASHARA NDANI YA VIUNGA VYA SABASABA
Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (2025), Wizara ya Katiba na Sheria inaendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia kampeni ya elimu na msaada wa kisheria bila malipo. ๐ฏ Katika banda hili maalum, wananchi wanapata: โ Elimu juu ya haki zao kikatiba na kisheria โ Ushauri wa …
Soma zaidi »ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA IKITOLEWA MUBASHARA NDANI YA VIUNGA VYA SABASABA
Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (2025), Wizara ya Katiba na Sheria inaendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia kampeni ya elimu na msaada wa kisheria bila malipo. ๐ฏ Katika banda hili maalum, wananchi wanapata: โ Elimu juu ya haki zao kikatiba na kisheria โ Ushauri wa …
Soma zaidi »MAONESHO YA SABASABA: BANDA KATIBA NA SHERIA LINAENDELEA KUTOA HUDUMA.
Katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba, wananchi wanaendelea kupata elimu na msaada wa kisheria BURE kutoka kwa wataalamu mbalimbali wa sheria. Hii ni sehemu ya kampeni ya serikali inayolenga kuhakikisha kila Mtanzania anafahamu haki zake na kupata msaada wa kisheria pale inapohitajika. ๐ฏ Huduma zinazotolewa: โ …
Soma zaidi »๐ฟ SIKU YA MAZINGIRA NDANI YA MAONESHO YA SABASABA 2025 ๐ฟ
Tazama tukio maalum la kuadhimisha Siku ya Mazingira ndani ya maonesho ya 48 ya Sabasaba, likiwa limebeba kaulimbiu ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa vitendo. Katika video hii utashuhudia: โ Ushiriki wa taasisi mbalimbali za mazingira โ Utoaji wa elimu kwa wananchi juu ya mabadiliko ya tabianchi, usafi wa mazingira …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+