MatokeoChanya

TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI MWEZI DISEMBA 2025

*Raia wa Kenya akamatwa akitumia biashara ya chai kuficha uuzaji wa dawa za kulevya. *Basi la King Masai lanaswa likisafirisha skanka. *Mirungi iliyofungwa kama majani ya mwarobaini yakamatwa. *Watumishi wa serikali wanaswa wakihusishwa na usafirishaji wa dawa za kulevya. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imetekeleza …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanziba

Soma zaidi »

🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI (UDSM – IMS) ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tarehe 08 Januari, 2026, Buyu, Zanzibar. #WaziriMkuu #Wamachinga #Bodaboda #Bajaji #HabariZaKitaifa #MaendeleoYaWananchi

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI (UDSM – IMS) ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tarehe 08 Januari, 2026, Buyu, Zanzibar.

Soma zaidi »

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WAMACHINGA, MADEREVA PIKIPIKI NA BAJAJI

Waziri Mkuu anazungumza moja kwa moja na wamachinga, madereva wa pikipiki na bajaji kuhusu masuala yanayowagusa katika shughuli zao za kila siku. Katika mazungumzo haya, anasikiliza changamoto zao, anatoa maelekezo, na kufafanua msimamo wa serikali katika kuboresha mazingira ya kazi na maisha ya wananchi wa kipato cha chini. Video hii …

Soma zaidi »

WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA MTANDAO KWA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO

Wananchi wametakiwa kutumia mtandao (eRITA) kuomba usajili wa vyeti vya kuzaliwa na vifo, huduma ambayo imeboreshwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili kurahisisha huduma kwa watanzania kote nchini. Mfumo huu wa mtandaoni unalenga kutoa huduma kwa haraka, kwa uwazi, na kwa gharama nafuu bila kuwasababishia wananchi usumbufu …

Soma zaidi »