MatokeoChanya

🔴 LIVE: KUTOKA TIA SINGIDA | VIJANA PLATFORM CAMPUS CONNECT.

Karibu ujiunge nasi moja kwa moja kutoka TIA Singida kwenye Vijana Platform Campus Connect. Katika mjadala huu maalum, tunayo heshima ya kuwa na Mgeni Rasmi, Mhe. Waziri Joel Arthur Nanauka, ambaye atazungumza na vijana wa chuoni kuhusu fursa, ajira, uongozi na nafasi ya vijana katika maendeleo ya taifa. Campus Connect …

Soma zaidi »

RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI AKIWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili nchini Tanzania, kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Pamoja na masuala mengine, Rais Museveni atafanya mazungumzo ya pande mbili na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na baadaye kuzungumza na vyombo …

Soma zaidi »

🔴LIVE: SIKU YA SHERIA NCHINI 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” 📅 Tarehe: 2 Februari, 2026 📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama – Dodoma Mahakama ya Tanzania …

Soma zaidi »

🔴LIVE: SIKU YA SHERIA NCHINI 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” 📅 Tarehe: 2 Februari, 2026 📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama – Dodoma Mahakama ya Tanzania …

Soma zaidi »

Kagera River Girls: Uwekezaji wa Bilioni 4.1 Unaobadilisha Ndoto za Wasichana Kuwa Mafanikio ya Taifa

Katika Wilaya ya Karagwe, Kata ya Kanoni, kunasimama kwa fahari Shule ya Sekondari Kagera River Girls—taa ya matumaini na ushahidi hai kwamba uwekezaji sahihi katika elimu ya wasichana huzaa matunda makubwa kwa jamii na taifa kwa ujumla. Mradi huu wa kimkakati wa shule ya wasichana ulianza Februari 2022 na hadi kukamilika kwake umegharimu …

Soma zaidi »

KIUMA Yageuza Taka za Plastiki kuwa Ajira na Tumaini Karagwe

VIJANA KAZINI, MAZINGIRA SALAMA: Na Mwandishi Wetu Katika kipindi ambacho changamoto za ajira na uchafuzi wa mazingira zimekuwa zikiongezeka, kikundi cha vijana cha KIUMA kutoka wilayani Karagwe kimeibuka kama mfano halisi wa ubunifu, uthubutu na matumaini mapya kwa vijana wa Tanzania. Kikundi hiki kilianzishwa mwaka 2023 na vijana waliodhamiria kuchukua hatua dhidi ya taka …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa Muembe (Mangifera indica) katika eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar

Soma zaidi »