Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu:
“Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.”
📅 Tarehe: 2 Februari, 2026 📍
Mahali: Makao Makuu ya Mahakama – Dodoma Mahakama ya Tanzania inawaalika wananchi wote kushiriki katika maadhimisho haya muhimu kwa ustawi wa Haki na maendeleo ya Taifa.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+