MatokeoChanya
WADAU WA MAENDELEO WAVUTIWA NA UKAGUZI WA MAZINGIRA UNAOFANYWA NA NEMC
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linaendelea na ukaguzi wa Mazingira kwenye miradi ya Maendeleo jijini Dar es Salaam, wadau mbalimbali waonesha kuridhishwa na zoezi hilo.
Soma zaidi »Baadhi ya wajumbe wa kamati ya ukaguzi pamoja na wakaguzi wa ndani wa NEMC wamehudhuria mafunzo ya utawala bora yaliyofanyika Grand Melia Hotel Arusha Septemba 22 – 23, 2025
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya wadau wa maendeleo kuongelea uwezekano wa kupata fursa za miradi kwenye Hifadhi Hai katika Kongamano la Dunia la Programu ya UNESCO ya Binadamu na Hifadhi Hai lililofanyika Hangzhou, China
Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyalinde yatulinde
NEMC yashiriki kongamano la Dunia la Programu ya UNESCO ya Binadamu na Hifadhi Hai lililofanyika jijini Hangzhou nchini China kuanzia Septemba 22-25, 2025. NEMC na TANAPA ni wawakilishi kutoka Tanzania katika kongamano hilo
FAHAMU KUHUSU SIKU YA FARU DUNIANI NA NAMNA NEMC WALIVYOUNGANA NA TANAPA KUADHIMISHA KWA MWAKA 2025
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na TANAPA wameadhimisha Siku ya Faru Duniani ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, Same mkoani Kilimanjaro Septemba 22,2025.
Soma zaidi »TUNA JIFUNZA NINI KUTOKA KWA FAMILIA YA MAMA HOMELAND FARM?
Kutoka kwa familia ya Mama Homeland Farm tunaweza kujifunza mambo muhimu sana kuhusu maisha, mshikamano na thamani za kijamii. Hapa kuna masomo makuu: 1. Thamani ya Kazi ya Pamoja Familia ya Mama Homeland Farm huonyesha jinsi kila mwanakaya akishirikiana kwa juhudi na mshikamano, mafanikio yanaweza kufikiwa. Wanafamilia hushirikiana katika kazi …
Soma zaidi »AMANI YETU INATUHUSU
@wolperstylishtz @makavu @ladyjaydee_ @efraziamakene @mrlovebite27 @officialzuchu @africanboyjux @abigail_chams @hamisamobetto @daynanyangetz @rayvanny_chui @diamondplatnumz @missgrandtanzania @killer_msodoki @kondeboy_tz @amina_jigge
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+