Katika tukio la kihistoria mkoani Kagera, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ameongoza uzinduzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hatua muhimu ya kupeleka elimu ya juu karibu zaidi na wananchi wa Kanda ya Ziwa.
Tukio hili limechukua sura ya kipekee baada ya wananchi wa eneo husika kujitolea hekari za ardhi bure kwa ajili ya ujenzi wa kampasi hiyo, kama mchango wao kwa Serikali na kwa vizazi vijavyo. Waziri Ndumbaro amewapongeza wananchi hao kwa moyo wa uzalendo na mshikamano katika kuchochea maendeleo ya elimu nchini.
๐ Chuo hiki kinatarajiwa kuongeza fursa za elimu ya juu kwa vijana wa Kagera na mikoa jirani.
๐ฑ Ni mfano bora wa ushirikiano kati ya Serikali na wananchi kwa ajili ya maendeleo.
๐ Kagera โ Kitovu kipya cha maarifa!
๐ Usisahau kusubscribe, kulike, na kushare video hii kwa wengine.
#ElimuKwanza #Kagera #UDSM #Ndumbaro #MamaSamia #Maendeleo #ChuoKikuuTanzania
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+