Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia historia ya Kiwanda cha kusafisha Mafuta cha Luanda Oil Refinery wakati akihitimisha ziara yake Jijini Luanda nchini Angola tarehe 09 Aprili, 2025
MatokeoChanya
April 9, 2025
CCM, DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
223 Imeonekana