Kilimanjaro, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka watumishi wa Mamlaka ya Maji mkoani Kilimanjaro kuhakikisha wanaharakisha utoaji wa huduma kwa wananchi ili wasikose huduma hiyo muhimu. Aidha, Rais Samia amesisitiza kuwa mamlaka hiyo ihakikishe huduma ya maji haikatwi katika siku za sikukuu …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2025
TUMETESEKA KWA MUDA MREFU KUTOKANA NA UHABA WA MAJI, LAKINI SASA TUNA HAKIKA YA KUPATA MAJI SAFI.
“Tumeteseka kwa muda mrefu kutokana na uhaba wa maji, lakini sasa tuna hakika ya kupata maji safi na salama. Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuletea maendeleo haya,” alisema Mariam Salum, mkazi wa Same. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameuzindua rasmi Mradi wa Maji wa …
Soma zaidi »WANANCHI WA SAME NA MWANGA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MRADI WA MAJI SAME-MWANGA-KOROGWE
Wananchi wa wilaya za Same na Mwanga wameonyesha furaha na shukrani kubwa kwa uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe, hususan kwa uwepo wa mtambo wa kisasa wa kutibu maji uliopo wilayani Mwanga. Mradi huu, ambao chanzo chake ni Bwawa la Nyumba ya Mungu, umekamilika baada ya kusubiriwa kwa miaka …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025
TUMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA TANZANIA – MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.
“Ndugu zangu kwa upande wa afya tumepiga hatua kubwa sana haswa kwenye maendeleo ya miundombinu. Nyinyi mnatambua kwamba serikali yenu imejitahidi kujenga miundombinu ya afya nchi nzima katika kila ngazi ya zahanati, hospitali za kata, hospitali za wilaya, hospitali za mikoa na hospitali za rufaa,” Rais wa Jamhuri ya Muungano …
Soma zaidi »DKT. SAMIA: TUMEPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, elimu, miundombinu, na maendeleo ya jamii chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Moja ya mafanikio makubwa ni kupungua kwa vifo vya wanawake wakati wa kujifungua kutoka 1500 kwa vizazi hai 100,000 hadi 104 …
Soma zaidi »SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Siku ya Wanawake Duniani imeadhimishwa kwa hamasa kubwa jijini Arusha, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza dhamira ya serikali kujenga jamii jumuishi, yenye haki na usawa wa kijinsia.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+