Kupitia uwezeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Elizabeth Mzuringi — mnunuzi na mchakataji wa mpunga — ameleta mabadiliko makubwa katika sekta ya kilimo-biashara wilayani Kahama. Kwa msaada wa uwekezaji wa mtaji na ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mpunga, Elizabeth ameweza kununua mazao moja kwa moja kutoka kwa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+