Maktaba ya Mwezi: July 2025

WAKILI MSOMI NA RAIS WA TLS MWAMBUKUSI AWASHUKIA WAZEE WA NCHI HII,NI WAKATI WAO KULINUSURU TAIFA

Katika hali ya sasa ya kisiasa nchini, ambapo mijadala kuhusu mwelekeo wa uchaguzi mkuu ujao imeanza kuchukua nafasi kubwa, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa wito mzito kwa taifa: kuitishwa kwa dharura kwa kikao cha Wazee wa Taifa. Lengo kuu ni kutafuta maridhiano ya kitaifa …

Soma zaidi »

TATIZO SIO KATIBA MPYA, NI MITAZAMO (ATTITUDE) – WAKILI BONIFACE MWABUKUSI

Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi, anatoa mtazamo tofauti kuhusu changamoto za taifa. Anasisitiza kuwa hoja si kuandika Katiba mpya tu, bali ni kuongozwa na mitazamo sahihi ya kiuongozi, maadili, na uzalendo. ▶️ Sikiliza kauli hii yenye kutikisa fikra za kawaida. 🔔 Subscribe ili kupata maoni ya ujenzi wa Taifa …

Soma zaidi »

TUOMBE KWA AJILI YA TAIFA LETU – BONIFACE MWABUKUSI

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa wito wa kitaifa wa maombi kwa ajili ya Tanzania, akiwasihi Watanzania wote kumgeukia Mungu kwa unyenyekevu na toba ili taifa lirudi katika mstari wake sahihi wa haki, maadili, umoja na heshima. Katika ujumbe wake, alioutoa kwa sauti ya matumaini …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri pamoja na Miss World Africa na mshindi wa pili kwa mwaka 2025 Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025

Soma zaidi »