Katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba, wananchi wanaendelea kupata elimu na msaada wa kisheria BURE kutoka kwa wataalamu mbalimbali wa sheria. Hii ni sehemu ya kampeni ya serikali inayolenga kuhakikisha kila Mtanzania anafahamu haki zake na kupata msaada wa kisheria pale inapohitajika. π― Huduma zinazotolewa: β …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+