Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 (Dira 2050)
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe mara baada ya kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.
🔴 LIVE: UZINDUZI WA DIRA MPYA YA MAENDELEO YA TAIFA NA MHE, RAIS DKT. SAMIA | JULAI 17, 2025 DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza hafla ya uzinduzi rasmi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo baada ya 2025 leo tarehe 17 Julai, 2025, jijini Dodoma. Tazama tukio hili la kihistoria linaloashiria mwelekeo mpya wa maendeleo ya taifa letu kwa miongo ijayo. Katika …
Soma zaidi »WIMBO MAALUM WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
#DIRA2050
Soma zaidi »Imeelezwa kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha na maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi kwa siku za usoni.
Hayo yamebainishwa leo Julai 20, 2024 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akifungua Kongamano la Kwanza la Kikanda kuhusu Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 jijini Mwanza. “Maandalizi ya Dira ni sehemu ya upangaji maendeleo na sisi kama Taifa ili tuweze …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+