Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza hafla ya uzinduzi rasmi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo baada ya 2025 leo tarehe 17 Julai, 2025, jijini Dodoma.
Tazama tukio hili la kihistoria linaloashiria mwelekeo mpya wa maendeleo ya taifa letu kwa miongo ijayo. Katika hotuba yake, Mhe. Rais Samia ameeleza maono, mikakati na matarajio ya kujenga Tanzania ya viwanda, ya watu waliowezeshwa na mazingira rafiki kwa ustawi wa taifa.
Usikose kuangalia, kushiriki na kusambaza ujumbe huu wa matumaini kwa Watanzania wote!
#Dira2025 #RaisSamia #MaendeleoYaTanzania #Dodoma #UzinduziRasmi #TanzaniaMpya
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+