MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA SGR KWALA PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandika historia nyingine katika sekta ya usafirishaji nchini kwa kuzindua rasmi usafirishaji wa mizigo kupitia Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Kwala, mkoani Pwani.

Uzinduzi huu unaashiria mwanzo mpya wa mageuzi ya kimkakati katika usafiri wa mizigo nchini na kanda ya Afrika Mashariki, kwa lengo la kupunguza gharama, kuongeza ufanisi na kurahisisha biashara kati ya Tanzania na nchi jirani.

Tazama tukio hili muhimu lililojumuisha viongozi waandamizi wa Serikali, wadau wa sekta ya usafirishaji na wananchi kutoka maeneo mbalimbali.

#SGRTanzania #RaisSamia #MizigoKwaSGR #KwalaTerminal #MageuziYaUsafiri #TanzaniaInajengwa

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *