Tazama hotuba ya kihistoria ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliposhiriki na kuongoza Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba – Dodoma.
Katika hotuba hii, Rais Samia anatoa heshima kwa mashujaa waliopigania uhuru, amani na maendeleo ya Taifa, huku akisisitiza wajibu wa kizazi cha sasa kuendeleza uzalendo, mshikamano na ujenzi wa taifa imara. Pia anagusia nafasi ya vijana, jeshi na wananchi wote katika kulinda tunu za taifa letu.
#SikuYaMashujaa2025 #RaisSamia #MtumbaDodoma #MashujaaWaTanzania #Uzalendo #TanzaniaKwanza #HotubaYaRais
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+