Wapendwa Watanzania wenzangu, wakati wa kuchagua viongozi wetu unakaribia. Ni fursa adhimu na ya kipekee kwa kila mmoja wetu kuamua mustakabali wa taifa letu. Kupiga kura ni haki yetu ya msingi, lakini zaidi ya haki ni wajibu wa kila mmoja katika kujenga Tanzania tunayoitaka.
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2024
Huu Ndio Wakati Wetu Wa Kuonesha Uzalendo Kwa Vitendo Kwa Taifa Letu, Tujitokeze Tukapige Kura!
Tanzania mbele kwa kura yako! Huu ndio wakati wetu wa kuonesha uzalendo kwa vitendo na kuimarisha taifa letu. Kwa pamoja, tukitoa sauti zetu kwa njia ya kura, tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli. Hivyo basi, tusikose kutimiza wajibu huu muhimu wa kitaifa.
Soma zaidi »“Tujitokeze Tupige Kura Kwa Viongozi Wanaotamani Kuona Tanzania Ikisonga Mbele”
Tusikubali kusimama pembeni wakati wa uamuzi muhimu. Kwa pamoja, tukiwa na umoja na uzalendo, tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura, tuweke sauti yetu kwa viongozi wanaotamani kuona Tanzania ikisonga mbele. Tukumbuke kuwa kila kura ina umuhimu na maana kubwa kwa mustakabali wa nchi yetu.
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Mafuru kwenye viwanja vya Karimjee
Tukio la kuaga mwili wa Marehemu Lawrence Mafuru liliongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma zaidi »Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuleta ufanisi zaidi katika kuwahudumia wananchi
Amesema kuwa maboresho hayo ya matumizi ya mfumo wa kielektroniki yatasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza matumizi ya karatasi katika vikao vya Serikali, hususan Baraza la Mawaziri, hivyo kupunguza changamoto ikiwemo kuchelewa kwa taarifa, gharama kubwa za uchapaji na hatari ya upotevu wa taarifa muhimu. Amesema hayo leo (Jumatatu, Novemba 11, …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet Foundation mara baada ya kumaliza mazungumzo
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KONGAMANO LA JUMUIYA YA WAISLAMU WA SHIA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 10, 2024 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu na Kongamano la Umuhimu wa Amani kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Waislamu wa SHIA Tanzania, lilofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini …
Soma zaidi »TRENI YA MCHONGOKO YAANZA SAFARI KWA KISHINDO DAR – DOM
Treni ya Umeme ya Kisasa (EMU) ya Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania ni sehemu muhimu ya mradi wa kuboresha miundombinu ya usafiri wa reli. Treni hizi zina uwezo wa kubeba abiria wengi kwa wakati mmoja na kusafiri kwa kasi ya hadi kilomita 160 kwa saa, hivyo kupunguza muda wa …
Soma zaidi »Ujenzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) Wafikia Asilimia 90.5, Kukamilika Desemba 2024
Ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo–Busisi) umefikia hatua za mwisho. Hadi Septemba 17, 2024, ujenzi ulikuwa umefikia asilimia 90.5, na sehemu ya mita mbili pekee ilibaki ili kuunganisha daraja lote. Daraja hili lenye urefu wa kilomita 3.2 linatarajiwa kukamilika ifikapo Desemba 2024. Serikali imeendelea kutoa fedha kwa wakati, ambapo …
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini wahakikishe vipaumbele vilivyoanishwa kwenye Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/2026 vinatafsiriwa vema kwenye mipango ya Taasisi zao
Amesema mpango huo umejikita katika kuendeleza na kukamilisha utekelezaji wa afua zinazotoa matokeo ya maeneo matano ya kipaumbele ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Novemba 8, 2024) wakati akiahirisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 Bungeni jijini Dodoma, …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+