Tanzania mbele kwa kura yako!
Huu ndio wakati wetu wa kuonesha uzalendo kwa vitendo na kuimarisha taifa letu. Kwa pamoja, tukitoa sauti zetu kwa njia ya kura, tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli. Hivyo basi, tusikose kutimiza wajibu huu muhimu wa kitaifa.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+