Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, tarehe 01 Novemba 2024 ameungana na kuongoza Waombolezaji Katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo,jijini Dar-es-Salaam, kuaga mwili wa marehemu Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri November 27, 2024 CCM, JWTZ, Makamu wa Rais, Tanzania, Tanzania MpyA+ 0 Soma zaidi » Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest