Treni ya Umeme ya Kisasa (EMU) ya Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania ni sehemu muhimu ya mradi wa kuboresha miundombinu ya usafiri wa reli. Treni hizi zina uwezo wa kubeba abiria wengi kwa wakati mmoja na kusafiri kwa kasi ya hadi kilomita 160 kwa saa, hivyo kupunguza muda wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: November 8, 2024
Ujenzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) Wafikia Asilimia 90.5, Kukamilika Desemba 2024
Ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo–Busisi) umefikia hatua za mwisho. Hadi Septemba 17, 2024, ujenzi ulikuwa umefikia asilimia 90.5, na sehemu ya mita mbili pekee ilibaki ili kuunganisha daraja lote. Daraja hili lenye urefu wa kilomita 3.2 linatarajiwa kukamilika ifikapo Desemba 2024. Serikali imeendelea kutoa fedha kwa wakati, ambapo …
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini wahakikishe vipaumbele vilivyoanishwa kwenye Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/2026 vinatafsiriwa vema kwenye mipango ya Taasisi zao
Amesema mpango huo umejikita katika kuendeleza na kukamilisha utekelezaji wa afua zinazotoa matokeo ya maeneo matano ya kipaumbele ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Novemba 8, 2024) wakati akiahirisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 Bungeni jijini Dodoma, …
Soma zaidi »Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anaiwakilisha Serikali katika sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Botswana Gideon Duma Boko zitakazofanyika Katika Uwanja wa Taifa wa nchi hiyo Novemba 8, 2024
Akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Gaborone, Dkt. Biteko amepokelewa na Katibu Mkuu wa Vijana, Jinsia, Utamaduni na Michezo, Bridget John, Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini, Mhe. James Bwana pamoja na maafisa wengine waandamizi wa Nchi hiyo. Mhe. Gideon Duma Boko ni Rais wa Sita Botswana kupitia chama cha …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+