Takriban TZS 767.84 bilioni zilitengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ongezeko la asilimia 34.7 kutoka bajeti ya mwaka uliopita. Fedha hizi zinalenga kuboresha miundombinu na kuongeza usalama wa chakula kwa taifa.
MatokeoChanya
October 31, 2024
CCM, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+, WIZARA YA KILIMO
300 Imeonekana