Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Tanzania, Prof. Adolf Mkenda, amekutana na Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Afrika Kusini, Mhe. Dkt. Blade Nzimande, ambapo wamejadili kwa kina njia za kuimarisha uhusiano kati ya nchi zao katika nyanja za sayansi, teknolojia na ubunifu. Waziri Mkenda …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 30, 2024
Tanzania na Urusi Zaimarisha Ushirikiano wa Biashara na Uchumi Kupitia Tume ya Pamoja
Mkutano wa kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano wa Biashara na Uchumi kati ya Tanzania na Urusi, uliofanyika jijini Dar es Salaam, umehitimishwa kwa mafanikio kwa kusainiwa kwa vipengele mbalimbali vya makubaliano ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi baina ya nchi hizo mbili. Mkutano huo wa siku mbili ulijumuisha …
Soma zaidi »Tanzania na Urusi zasaini vipengele vya mfumo wa makubaliano ya kuimarisha ushirikiano wa Biashara na Uchumi wakihitimisha Mkutano wa kwanza wa tume ya pamoja ya Ushirikiano wa Biashara na Uchumi baina ya nchi zao, Jana jijini Dar es Salaam
Mkutano huo wa siku mbili umehusisha; Mkutano wa Wataalamu, Mkutano wa Tume ya pamoja na Kongamano la Uwekezaji, kabla ya kuhitimishwa kwa ngazi ya juu ya Waheshimiwa Mawaziri kutia saini makubaliano hayo. Katikatika taarifa yao waliyoitoa kwa pamoja mara baada ya kutia saini makubaliano hayo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya …
Soma zaidi »Mwaka 2023, Tanzania ilipiga hatua kubwa katika uzalishaji wa chakula, ambapo uzalishaji ulifikia tani milioni 20.4, ikilinganishwa na tani milioni 17.1 mwaka 2022. Hii inawakilisha ongezeko la takriban tani milioni 3.3, linalotokana na juhudi za serikali na Wizara ya Kilimo kuimarisha kilimo kama nguzo ya uchumi na usalama wa chakula nchini
Uwekezaji katika Umwagiliaji: Kupitia miradi ya umwagiliaji na ongezeko la bajeti, maeneo mengi ya kilimo yamewezeshwa kupata maji ya kutosha kwa ajili ya mazao, jambo lililosaidia kuongeza uzalishaji, hasa katika mikoa yenye ukame Uzalishaji wa Mbegu Bora: Serikali imeongeza uzalishaji wa mbegu bora kutoka tani 35,199 mwaka 2021 hadi tani …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+