Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 11, 2024
Mh Rais Samia ameanza, wewe unasubiri nini ?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma
Soma zaidi »BODI YA WAKURUGENZI NEMC YATEMBELEA MRADI WA KUHIMILI MABADILIKO YA TABIANCHI PEMBA
NEMC YANOA KIKUNDI CHA WANAWAKE NA SAMIA MKOANI DODOMA – ELIMU YA MAZINGIRA
NEMC YAWAFUMBUA MACHO WANAWAKE NA SAMIA MKOA WA DODOMA JUU YA FURSA ZILIZOPO KWENYE MAZINGIRA
MWENYEKITI WANAWAKE NA SAMIA DODOMA AIPONGEZA NEMC KWA KUWAPA ELIMU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Documentary – SAFARI YA MAISHA BORA
Ni Safari ya Kutembelea Maeneo ya Mradi ya Kitwai, Saunyi na Msomera. Serikali imeendelea kutoa elimu na kuwashawishi wananchi kuhama kwa hiari ndani ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, ambapo Tarehe 14, Septemba 2024 Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro iliandaa safari ya wawakilishi wa wananchi wakiwemo viongozi, malaigwanani na wakaazi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+