Recent Posts

RAIS SAMIA AONYA WATUMISHI WA WIZARA YA ARDHI DHIDI YA RUSHWA

“Hatutavumilia Wanaokwamisha Haki za Wananchi” Dodoma, Machi 17, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa onyo kali kwa watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wanaojihusisha na vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa serikali haitawavumilia wahujumu wa haki za wananchi. …

Soma zaidi »

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera na Uratibu, William Lukuvi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa wameungana na familia na waumini kushiriki Misa Takatifu ya kumuombea Rais wa awamu ya Tano, Hayati Dkt. John P. Magufuli

Misa hiyo Takatifu imeongozwa na Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi Mlimani wilayani Chato mkoa wa Geita. Misa hiyo Takatifu imeongozwa na Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara katika …

Soma zaidi »