Recent Posts
Pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston Marathon)
Dkt Philip Mpango Kuelekea Vatican
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, ameondoka nchini kuelekea Vatican kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwenye Mazishi yahayati Baba Mtakatifu Francisko tarehe 26 Aprili 2025
Soma zaidi »NEW: Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Aretas Lyimo
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amesema, jukumu la kuiokoa Jamii na ukatili wa kijiinsia ni la kila mmoja hivyo ameiasa Jamii kushirikiana katika kupambana na vitendo hivyo. Dkt. Jingu ameyasema hayo jijini Dodoma Aprili 23, 2025 wakati akiongoza kikao cha …
Soma zaidi »NEMC YAFAFANUNUA UMUHIMU WA RASILIMALI MISITU KATIKA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Kwenye Miradi Ya Maji
#SisiniTanzania #nchiyangukwanza #katibanasheria #SSH #kaziiendelee #matokeochanya #mslac
Soma zaidi »Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Kwenye Sekta Ya Afya
#SisiniTanzania #nchiyangukwanza #katibanasheria #SSH #kaziiendelee #matokeochanya #mslac
Soma zaidi »Tunaweka Msisitizo….! Mhe Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan
ADA TADEA KUSIMAMISHA WAGOMBEA UDIWANI NA UBUNGE, NAFASI YA RAIS KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Mwenyekiti wa Chama cha ADA TADEA Mkoa wa Songea, Alli Sadiki Mapunda, ametangaza kuwa chama chao kipo tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema kuwa ADA TADEA itasimamisha wagombea katika nafasi zote za udiwani na ubunge, …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




