Recent Posts
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akisali mbele ya Kaburi la Mtakatifu Rita wa Kashia kabla ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya Pili ya Pasaka katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Rita wa Kashia, lililopo katika Mji wa Cascia nchini Italia leo tarehe 27 Aprili 2025
KATIKA UZINDUZI WA KITABU CHA MWALIMU NYERERE tarehe 26 Aprili, 2025
Matukio mbalimbali katika uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” uliofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Soma zaidi »TANZANIA IKIENDELEA KUSHINDA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
RAIS DKT. SAMIA AKITUNUKU NISHANI YA MUUNGANO NA KUZINDUA KITABU CHA MWALIMU NYERERE
MWALIMU. J K NYERERE, HOJA JUU YA TANZANIA NA MUUNGANO
Katika historia ya Tanzania, jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere linang’aa kwa upekee kama kiongozi aliyesimama kidete kuasisi na kulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kupitia fikra zake makini na maono yake ya kina kuhusu mustakabali wa Afrika, Mwalimu Nyerere alijenga hoja nzito juu ya umuhimu wa Muungano kama njia …
Soma zaidi »Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefeka Mashamba ya bangi mkoani Shinyanga
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imefanya operesheni maalum katika mikoa mbalimbali, ikiwemo Shinyanga, na kufanikisha ukamataji wa jumla ya kilo 54,506.553 za dawa za kulevya. Katika operesheni hiyo, …
Soma zaidi »HERI YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MUUNGANO WATANZANIA
🔴#LIVE: MHE. RAIS DKT SAMIA AKIHUTUBIA TAIFA KUELEKEA MIAKA 61 YA MUUNGANO
Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »🔴#LIVE: MHE. RAIS DKT SAMIA AKIHUTUBIA TAIFA KUELEKEA MIAKA 61 YA MUUNGANO
Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




