Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ni mdau muhimu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini, hasa inapohusiana na kushughulikia mianya ya rushwa inayochochea biashara hiyo haramu. TAKUKURU imekuwa kiungo muhimu katika kuhakikisha kila mtumishi wa umma anayetakiwa kutekeleza wajibu wa kudhibiti dawa za kulevya anafanya hivyo …
Soma zaidi »Recent Posts
MKEMIA MKUU WA SERIKALI NDIYE SHAHIDI MKUU WA KITAALAMU KATIKA KESI ZINAZOHUSISHA DAWA ZA KULEVYA
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imeendelea kuwa mhimili mkuu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini kwa kutoa ushahidi wa kitaalamu wa kisayansi unaotumika mahakamani kuhakikisha haki inatendeka. Kupitia maabara zake za kisasa, GCLA hupokea na kuchunguza sampuli zote za dawa za kulevya zinazokamatwa katika …
Soma zaidi »UHAMIAJI NA DCEA HUSHIRIKIANA KWA ULINZI WA MIPAKA NA VIPENYO VYA DAWA ZA KULEVYA
Idara ya Uhamiaji ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejikita kwa nguvu kubwa katika kuzuia mianya yote inayoweza kutumiwa na wasafirishaji wa dawa za kulevya kuingia au kutoka nchini. Kwa kushirikiana kwa karibu na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Idara hii imeongeza ulinzi na ufuatiliaji …
Soma zaidi »KARIBU BANDA LA NEMC KWENYE MAONESHO YA SABASABA UPATE ELIMU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
🟢 LIVE: RAIS SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE – IKULU CHAMWINO, DODOMA | 28 JUNI 2025
Karibu ufuatilie tukio maalum la kuapishwa kwa viongozi wapya walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hii inafanyika katika viunga vya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, leo tarehe 28 Juni, 2025. Katika tukio hili, viongozi kutoka kada mbalimbali serikalini wanapokea rasmi majukumu …
Soma zaidi »HOTUBA YA MHE. RAIS. DKT. SAMIA: AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU CHAMWINO DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 28 Juni, 2025
Soma zaidi »TATHMINI YA HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIVUNJA BUNGE JIJINI DODOMA – 2025 🏛️
Katika video hii tunakuletea uchambuzi wa kina na tathmini ya hotuba ya kihistoria iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa kulivunja Bunge la 12 jijini Dodoma. Rais Samia amegusia mafanikio ya serikali ya awamu ya sita, changamoto zilizokumbwa, na dira ya …
Soma zaidi »ONA USHIRIKIANO MADHUBUTI WA JESHI LA POLISI NA DCEA KATIKA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Katika kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa taifa salama na lenye watu wenye afya bora na maadili mema, Jeshi la Polisi limeimarisha ushirikiano wake na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) katika jitihada za kuzuia, kubaini na kutokomeza kabisa matumizi na biashara ya dawa za kulevya nchini. Kupitia …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




