Recent Posts

BOMBARDIER KUTUA SONGEA SEPTEMBA

Serikali imesema ndege aina ya Bombardier Q400 itaanza safari zake za kuruka na kutua katika Kiwanja cha Ndege cha Songea ifikapo mwezi Septemba mwaka 2020 ili kufungua fursa za kiuchumi na kijamii. Amezungumza hayo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akiwa mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi …

Soma zaidi »

WAZIRI BITEKO – WACHIMBAJI ACHENI KUTOROSHA MADINI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Usalama Diwani Athuman wakiwa wameshika jiwe la Madini ya Tanzanite lilichimbwa na mfanyabiashara Saniniu Laizer anayetazama ni Waziri wa Madini Dotto Biteko Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip …

Soma zaidi »

KAMPUNI YA ANDOYA YATAKIWA KUONGEZA UZALISHAJI WA UMEME

Jiwe la msingi la Kampuni ya Andoya liliwekwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kwa ajili ya kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Mtandazi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja,alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kuzalisha Umeme katika kampuni hiyo, …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MAONESHO YA NANENANE MKOANI SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kwenye Sherehe ya Uzinduzi  wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja  vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020. ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi …

Soma zaidi »