Recent Posts

NEMC YAONYWA KUTOKUWA KIKWAZO KATIKA UTOAJI WA VIBALI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini kutokuwa kikwazo katika utoaji wa vibali vya mazingira kwa wawekezaji katika kutekeleza miradi ya kimkakati. Amesema hayo hii leo alipokuwa akizungumza na Menejimenti na wafanyakazi …

Soma zaidi »

SILINDE: VIONGOZI WA MIKOA WEKENI MIKAKATI ENDELEVU UJENZI WA MADARASA

Na Angela Msimbira, Sumbawanga Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe David Silinde amewaagiza Viongozi wa Mikoa yote nchini kuhakikisha zoezi la ujenzi wa madarasa linakuwa endelevu na kuwekewa mikakati maalum ili kupunguza uhaba wa madarasa nchini. Ametoa agizo hilo leo wakati akikagua miradi …

Soma zaidi »

WAZIRI BITEKO AFUTA LESENI SITA ZA WAFANYABIASHARA WA MADINI CHUNYA

Na, Tito Mselem, Chunya Waziri wa Madini Doto Biteko, amefuta leseni Sita za wafanyabiashara wa madini ya dhahabu ambao wanatuhumiwa kujishughulisha na utorashaji wa madini wilayani Chunya. Watuhumiwa hao, wametakiwa kutojishughulisha na shughuli yoyote ya Madini nchini. Wakati huo huo, Waziri Biteko, ameagiza kuondolewa kwa Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa Madini …

Soma zaidi »

RADIO KIJAMII ZAASWA KUZINGATIA MAADILI YA UTANGAZAJI

Na Immaculate Makilika- MAELEZO Redio za kijamii zimeaswa kufanya kazi kwa ufanisi sambamba na kuzingatia maadili ya utangazaji hasa katika kipindi hiki cha kidigitali. Akizungumza hivi karibuni jijini Dodoma, Afisa Habari kutoka Idara ya Habari- MAELEZO, Jonas Kamaleki wakati akifungua mafunzo maalumu yanayohusu masoko kwa kutumia mifumo ya kidigitali yalioandaliwa …

Soma zaidi »

DR. DUGANGE AWATAKA TARURA KUSIMAMIA MIKATABA

Nteghenjwa Hosseah, OR- TAMISEMINaibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Dk Festo Dugange ameutaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuhakikisha mikataba ya ujenzi wa barabara inazingatia masharti na miradi inatekelezwa kwa wakati.Dk. Dugange aliyasema hayo jijini hapa alipokwenda kukutana na uongozi wa TARURA kwa madhumuni ya kujitambulisha, kutathimini …

Soma zaidi »

TBA YAPEWA KONGOLE KUTEKELEZA MIRADI 85

Imeelezwa kuwa katika kipindi cha miaka mitano Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa Majengo ya Serikali 85 nchi nzima yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 142 ikiwamo miradi ya “Buni – Jenga”. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. …

Soma zaidi »