Recent Posts

KINONDONI YA ANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU WAMACHINGA

Mkuu wa Wilaya  Kinondoni, Daniel Chongolo kwakushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, wameahidi kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo wadogo ikiwa ni katika utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. John Magufuli yakutaka kundi hilo lipewe kipaumbele katika kutimiza shughuli zao. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na …

Soma zaidi »

SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA SEKTA YA NISHATI KWA KASI

Na. Beatrice Saanga-MAELEZO Nishati ni sekta muhimu sana kwa wananchi na maendeleo ya nchi kwa ujumla hususani kuelekea katika uchumi wa viwanda kwa kuhakikisha kuwa umeme wa uhakika unazalishwa na  na kuwafikia wananchi walio wengi ili waweze kufikia ndoto zao za kuanzisha na kumiliki viwanda na kuweza kuinuka kuinua kipato …

Soma zaidi »

KAMERA 306 ZENYE UWEZO WA KUMTAMBUA MHALIFU ZAKABIDHIWA WIZARA YA ULINZI

Asteria Muhozya na Issa Mtuwa, Mirerani Kwa mara nyingine tena Ukuta unaozunguka Migodi ya Tanzanite Mirerani wenye urefu wa kilomita 24.5 umeingia kwenye historia nyingine baada ya kufungwa jumla ya Kamera 306 za Usalama zenye uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yoyote ikiwemo kumbaini mhalifu. Kamera hizo zimewekwa kufuatia kuwepo …

Soma zaidi »