Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ihakikishe Watanzania hawarubuniwi ili watumie vizuri utashi wao wa kisiasa kuchagua viongozi bora. “Sote tunatambua kuwa Oktoba, mwaka huu Taifa letu litaendesha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani… mna jukumu zito la kuhakikisha Watanzania hawarubuniwi na …
Soma zaidi »Recent Posts
SERIKALI IMEENDELEA KUWEKA MIKAKATI ENDELEVU YA KUWAWEZESHA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA UCHUMI WA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAVUNDE
Serikali imeendelea kuweka mikakati endelevu ya kuwawezesha vijana nchini kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali ili kuendelea uchumi wa Taifa. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Vijana …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA RADIO JAMII ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Mboga aina ya Kisamvu inayotengenezwa na Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Unguja Wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Redio Jamii Kati FM katika Kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na Mradi wa …
Soma zaidi »WATOA HUDUMA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI KWA KUZINGATIA MAADILI
NA WAMJW- MANYARA Mkurugenzi wa tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Watoa huduma za Afya nchini kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia maadili wakati wa kumhudumia mgonjwa. Dkt. Grace Magembe ametoa rai hiyo leo, wakati alipofanya ziara ya kukagua …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI SIMA APIGA MARUFUKU UOKOTAJI WA CHUPA ZA PLASTIKI DAMPO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima akitoa maelekezo kwa Bw. Vanika Ndelekwa Mkuu wa Idara ya Mazingira wa Jiji la Mbeya mara baaada ya Naibu Waziri Sima kutembelea dampo la Nsagala Jijini Mbeya Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeagizwa kuanzisha programu maalumu ya kutoa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI SIMA AKAGUA KIWANDA CHA TBL MBEYA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akipata maelezo ya shughuli za uendeshaji wa Kiwanda cha Bia Mbeya kutoka kwa Bw. Emmanuel Sawe Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho. Kushoto ni Prof Esnat Chaggu Mwenyekiti wa Bodi – Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AWATAKA WATENDAJI ARDHI KUTOA ELIMU YA SHERIA MPYA YA FEDHA KUHUSU UMILIKISHAJI ARDHI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na viongozi pamoja na watendaji wa sekta ya ardhi katika wilaya ya Biharamulo katika ziara yake ya kikazi mkoani Kagera. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo Kanali Mathias Kahabi jana. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI SIMA AAGIZA WACHIMBAJI WADOGO KUSAJILIWA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Songwe Bw. Samuel Jeremia Opulukwa (wa pili kushoto) wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za uhifadhi wa Mazingira katika Wilaya hiyo. Kulia ni Prof Esnat Chaggu Mwenyekiti wa Bodi …
Soma zaidi »MGANGA MKUU WA SERIKALI AWAAGIZA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KUONGEZA JITIHADA KATIKA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO.
NA WAMJW- KILIMANJARO Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameagiza ndani ya miezi sita (6) Waganga Wakuu wote wa mikoa, Waganga Wakuu wa Wilaya na Waganga wafawidhi wa hospitali zote nchini kuongeza kasi katika kupunguza zaidi vifo vya mama na mtoto kwa kuboresha huduma na usimamizi katika maeneo yao. …
Soma zaidi »TUFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI – DKT GRACE MAGEMBE
Na WAMJW- ARUSHA Mkurugenzi wa tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Watoa huduma za Afya wote nchini kufanya kazi kwa kushirikiana baina yao na viongozi wao ili kuboresha huduma za afya nchini. Dkt. Grace, ametoa wito huo wakati alipofanya …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




