Recent Posts

MKUTANO WA 40 WA SADC KUFANYIKA JIJINI DODOMA

Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaotarajiwa kufanyika tarehe 17 Agosti, 2020 kwa njia ya mtandao (video conference) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS SAMIA AKUTANA NA MENEJIMENTI YA OFISI YAKE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao kazi kilichofanyika leo Agosti 07,2020 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa …

Soma zaidi »

MIFUMO YA FEDHA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI NI MUAROBAINI WA RUSHWA

Na. Peter Haule na Farida Ramadhani, WFM, Simiyu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania kutambua umuhimu wa mifumo ya fedha iliyoanzishwa na Serikali kwa lengo la kupunguza vitendo vya rushwa na kuweka mazingira mazuri ya utawala bora. Waziri Bashungwa amesema hayo alipotembelea Banda la Wizara ya …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATAJA SABABU ZA KUOMBA TENA KUGOMBEA URAIS

Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa suala lililomfanya kuchukua fomu ya kugombea muhula wa pili ni kuendelea kuwatumikia watanzania kwa kuendelea na kazi aliyoianza. Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Ofisi za CCM makao Makuu mjini Dodoma mara baada ya kutoka kuchukua …

Soma zaidi »

MAHAKAMA KONDOA YAMALIZA MASHAURI 184 KATI YA JANUARI NA JULAI

Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Kondoa akitoa ufafanuzi juu ya maboresho ya miundombinu ya Mahakama yalivyorahisisha utoaji haki kwa wakati. Mahakama ya wilaya ya Kondoa imesikiliza na kumaliza mashauri ya jinai na madai 184 kati ya mashauri 262 yaliyokuwepo katika Mahakama za wilaya za Kondoa na Chemba. …

Soma zaidi »