Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akimkabidi taarifa ya Utekelezaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kupokelewa rasmi katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma. Katibu …
Soma zaidi »Recent Posts
WAZIRI WA UWEKEZAJI PROF. KITILA MKUMBO AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki. Kulia ni Katibu Mkuu Ikulu, Dkt. Moses Kasiluka. Kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko. …
Soma zaidi »HUNGARY NA TANZANIA ZATILIANA SAHIHI UFADHILI WA WANAFUNZI WA KITANZANIA
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Abdallah Possi akisaini makubaliano ya ufadhili wa masomo kwa wanafunzi 30 wa Kitanzania Nchini Hungary. Tanzania na Hungary zimetiliana saini makubaliano ya ufadhili kwa Wanafunzi zaidi ya 30 wa Kitanzania kwenda kusoma katika vyuo vikuu vya Nchini Hungary katika kipindi cha miaka …
Soma zaidi »WAZIRI WA MADINI BITEKO AZUIA URASIMU KATIKA SEKTA YA MADINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila akizungumza jambo wakati wa kikao cha menejimenti cha kumkaribisha rasmi Waziri wa Madini Doto Biteko ofisini tarehe 10 Disemba, 2020 Mtumba Jijini Dodoma. Asteria Muhozya na Steven Nyamiti, Dodoma Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake wamekumbushwa kuzingatia maeneo muhimu …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AWATAKA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUJIPANGA UPYA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka watendaji wa sekta ya ardhi kujipanga upya kwa kuwa wabunifu katika utekelezaji majukumu na kusisitiza kwamba hatomvumilia mtendaji atakyeshindwa kutekeleza majukumu yake. Aidha. Alisema katika kuhakikisha utendaji wa sekta …
Soma zaidi »DKT. NDUGULILE AKUTANA NA MENEJIMENTI WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI
Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akiongea katika kikao cha Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile na wajumbe wa Menejimenti ya Wizara hiyo mara baada ya kuapishwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo, Mji wa Serikali …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MENEJMENT NA IDARA YA MAZINGIRA KIKAO KAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya Mazingira kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao Kazi cha siku tatu kilichoanza Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma. kushoto ni Waziri wa Nchi …
Soma zaidi »MSIKUBALI KURUBUNIWA NA WASIOTUTAKIA MEMA – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania hususani vijana wasikubali kurubuniwa na makundi ya watu wasio na mapenzi mema na nchi yetu ambao watataka kuwatumia kwa maslahi yao binafsi na hatimaye kuhatarisha usalama na amani ya nchi yao. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo (Alhamisi, Desemba 10, 2020) wakati akifungua mkutano Mkuu wa …
Soma zaidi »WAZIRI UMMY MWALIMU KUSIMAMIA MASUALA YA MUUNGANO NA MAZINGIRA YANAYOGUSA MAISHA YA WANANCHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na Menejimenti ya Ofisi yake (hawapo pichani) mara baada kupokelewa rasmi katika Ofisi za Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …
Soma zaidi »BASHUNGWA NA ULEGA WAFIKA OFISINI NA KUANZA KAZI RASMI MUDA MCHACHE BAADA YA KUAPISHWA
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kulia) akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Innocent Lugha Bashungwa alipowasili ofisini Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma muda mchache baada ya ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




