Recent Posts

DKT. YONAZI: TPC CHANGAMKIENI KILA FURSA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi amelitaka Shirika la Posta Tanzania kuchangamkia kila fursa inayotokea katika biashara na kuongeza ubunifu wa biashara hizo. Ameyasema hayo leo Februari 14, 2021 katika kikao cha Menejimenti ya Shirika la Posta wakati alipokuwa akitoa semina ya mafunzo …

Soma zaidi »

NDUGULILE: TPC ANGALIENI UPYA MUUNDO NA SERA YA POSTA

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (katikati) akizungumza katika kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wake Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile na Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim …

Soma zaidi »

BALOZI IBUGE: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA MAJENGO CHUO CHA DIPLOMASI

Na Mwandishi wetu, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameonesha kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa majengo ya mihadhara katika chuo cha Diplomasia na kumuagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huo kuzingatia thamani ya fedha, muda wa mkataba na ubora. Balozi …

Soma zaidi »

TANZANIA KUNUFAIKA NA SHILINGI BILIONI 8 KWA AJILI YA MIGEBUKA

Tanzania imechaguliwa kunufaika na mradi wa Euro milioni 3 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 8 kwa ajili ya kuongeza mnyororo wa thamani wa samaki aina ya migebuka na dagaa kutoka ziwa Tanganyika. Mradi huo utatekelezwa Mkoani Kigoma kwa kipindi cha miaka mitano na kusimamiwa na Taasisi ya Utafiti wa …

Soma zaidi »

BALOZI IBUGE AWATAKA MABALOZI KUKUZA DIPLOMASIA YA UCHUMI

Balozi wa Tanzania nchini Zimbambwe Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akimuelezea jambo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Na Mwandishi wetu, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya …

Soma zaidi »