Recent Posts

DKT. MPANGO AAGIZA WATUMISHI 22 TRA WASIMAMISHWE KAZI

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, Dkt. Edwin Mhede kuwasimamisha kazi watumishi 22 wa Mamlaka hiyo wakiwemo baadhi ya Maneja wa TRA wa Mikoa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili za kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kujihusha na …

Soma zaidi »

DKT CHAULA ARATIBU MKAKATI WA KUIPELEKA JAMII YA TANZANIA KIDIJITALI

Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akiongoza kikao cha kamati ya kujadili na kupitisha mpango mkakati wa kuipeleka jamii ya Tanzania katika mfumo wa kidijitali, katika ukumbi wa Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo …

Soma zaidi »

WANYONGE NI LAZIMA WALINDWE NA SHERIA – DKT MWIGULU

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kikao kazi na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Kahama akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja Mkoani Shinyanga tarehe 15 Disemba 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Katiba na …

Soma zaidi »

WAZIRI KABUDI AHIMIZA USHIRIKIANO MIONGONI MWA NCHI ZA OACPS

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi ambaye pia Rais wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi za Afrika, Caribbean na Pasific (OACPS) jana tarehe 14 Disemba, 2020 amefungua na kuongoza Mkutano wa Jumuiya hiyo ambao uanatarajiwa kufanyika kwa kipindi cha …

Soma zaidi »

WAWEKEZAJI KUTOKA UTURUKI WAWASILI TANZANIA KUWEKEZA

Wawekezaji kutoka nchini Uturuki wamewasili nchini Tanzania kwa ajili ya kujionea fursa za uwekezaji na biashara zilizopo nchini ili waweze kuwekeza na kukuza Diplomasia ya Uchumi baina ya mataifa hayo. Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Prof. Elizabeth Kiondo amethibisha kuwasili kwa wawekezaji hao wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MV KILINDONI IKIWEKWA MAJINI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano itaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha inatekelezwa kwa viwango na kuwanufaisha watumiaji. Waziri Mkuu amesema hayo (Jumanne, Desemba 15, 2020) wakati aliposhuhudia uingizwaji majini wa Kivuko cha MV Kilindoni ‘Hapa kazi Tu’ kitakachofanya safari zake kati ya …

Soma zaidi »