Recent Posts

MHANDISI KUNDO AZINDUA VISIMA 20 VYA MAJI BARIADI

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi akichota Maji kwenye kijiji cha Bubale kilichopo Kata ya Nkololo, Bariadi kabla ya uzinduzi wa visima sita vya maji jimboni humo Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Andrea Mathew ambaye pia ni …

Soma zaidi »

HAMASISHENI WANANCHI KUJIUNGA NA CHF – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ahakikishe anawahamasisha wananchi wajiunge na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili waweze kuwa na uhakika wa kupata matibabu. Amesema kwa sasa Serikali iko katika mchakato wa kuwa na huduma ya bima ya afya ya Taifa, …

Soma zaidi »

ONGEZENI KASI KATIKA HUDUMA ZA MAABARA: DKT. MHAME

Na. Catherine Sungura,WAMJW-DodomaWataalam wa Maabara nchini wametakiwa kuongeza kasi katika kuhakikisha huduma za tiba inayotolewa inafuata miongozi ya wizara na kuhakikisha wanabadili fikra na mitazamo ili kuwafanya wateja wao waweze kuvutiwa na huduma wanazozisimamia. Hayo yamesemwa leo na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa …

Soma zaidi »