Recent Posts

DKT. NDUGULILE ALITAKA BARAZA LA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WANANCHI

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amelitaka Baraza la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA – CCC) kushughulikia malalamiko ya wananchi na changamoto wanazozipata wakati wanatumia huduma na bidhaa za mawasiliano nchini Dkt.Ndugulile ameyasema hayo wakati wa ziara yake alipotembelea TCRA – CCC akiwa ameambatana na …

Soma zaidi »

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATETA NA WAZIRI UMMY

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa  Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na  Makamu wa Pili wa Rais – Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdallah mara baada ya kufanya mazungumzo  baina yao, ambapo Mhe. Ummy alikwenda  Ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha. Kulia ni …

Soma zaidi »

BYABATO AKERWA NA CHANGAMOTO NDOGO ZA UKOSEFU WA UMEME

Kufuatia uwepo wa Changamoto mbali zinazohusu Umeme Maeneo mengi hapa Nchini, Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) ametoa mwelekeo wa Wizara husika katika kutafutia Ufumbuzi Kero sugu za Umeme zinazowakabili Wananchi ambao kipekee ndio Watumiaji wa Nishati hiyo. Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) Naibu Waziri …

Soma zaidi »

TIJA KWENYE KILIMO NDIO KIPAUMBELE – PROF. MKENDA

Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazo nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha mazo mengi zaidi na kukuza uchumi wa kaya na taifa. Waziri wa Kilimo amesema hayo (21.12.2020) wakati akikakabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Kilimo  Japhet …

Soma zaidi »

DKT. GWAJIMA AMETAKA PESA ZA DAWA ZIHESHIMIKE

Viongozi wa vituo vya kutolea huduma za afya vya umma wametakiwa kuheshimu fedha za dawa kadri zilivyopangwa kwenye bajeti ya Serikali kuu na vyanzo vingine  ili kuweza kuondoa kero ya upatikanaji wa dawa kwenye vituo vya afya nchini. Rai hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, …

Soma zaidi »