Recent Posts

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SAFARI ZA MV MBEYA II

Muonekano wa ndani wa Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Muonekano wa ndani wa Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA ELIMU, ATEMBELEA OFISI ZA BODI YA MIKOPO

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru akimkakaribisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga katika Ofisi za HESLB zilizopo Tazara Jijini Dar es Salaam wakati wa alipofanya ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB, Tazara Jijini …

Soma zaidi »

UJENZI HOSPITALI YA RUFAA MTWARA WAMVUTIA NAIBU WAZIRI MABULA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akishuka ngazi wakati akkagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Mtwara itakayohudumia mikoa ya Kanda ya Kusini pamoja na nchi jirani wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi na …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AAGIZA VIONGOZI WA AMCOS MBINGA WAKAMATWE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ruvuma, Hamza Mwenda ahakikishe anawakamata viongozi wa AMCOS kwa tuhuma za kutoa fedha za wanachama na kuwapa madiwani ili wakawashawishi madiwani wenzao wakubali kubadilisha eneo la ujenzi wa ofosi za Halmashauri ya Wilaya …

Soma zaidi »

MAJALIWA AFUNGUA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA MJI MBINGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 4, 2021 amezindua jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Mkoani Ruvuma. Pia, Waziri Mkuu alikagua nyumba 7 za Wakuu wa Idara za  Halmashauri ya Mji wa Mbinga zilizojengwa  na Serikali kwa gharama ya sh. Milioni 321.771. Nyumba za Wakuu wa Idara …

Soma zaidi »

HALMASHAURI ZAONYWA WAFANYABIASHARA KUCHANJA MIFUGO, MIKATABA YAO KUVUNJWA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amepiga marufuku halmashauri zote nchini kutotumia wafanyabiashara kuchanja mifugo na kutaka kuvunjwa kwa mikataba hiyo mara moja. Waziri Ndaki amebainisha hayo jana (31.12.2020) alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja Mkoani Shinyanga ambapo alipokuwa katika josho la kuogeshea mifugo la Kijiji cha …

Soma zaidi »

SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI YA KUENDELEZA VIJANA WABUNIFU WA TEHAMA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akipata taarifa kuhusu kampuni ya TEHAMA ya Magila Tech iliyoanzishwa na Godfrey Magila (anayezungumza) wakati wa ziara yake kwenye Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dar es Salaam Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AWATAKA WAMILIKI WA ARDHI KUJENGA KWA KUFUATA SHERIA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na  taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es salaam na Pwani. Alisema sheria inamtaka mmiliki …

Soma zaidi »