Recent Posts

WAZIRI BASHUNGWA AAHIDI KUPIGANI HAKI ZA WAANDISHI, ASISITIZA UZALENDO

Na A Suleiman Msuya Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amesema atatumia nafasi yake kutetea haki za waandishi wa habari nchini huku akisisitiza uzalendo na utaifa kwa kada hiyo. Kauli ya Waziri Bashungwa inakuja baada ya kuwasikiliza waandishi walioshiriki mjadala wa pamoja kuhusu changamoto wanazopitia katika kutekeleza …

Soma zaidi »

KIWANDA CHA VIATU CHA KARANGA KUZALISHWA AJIRA ZAIDI YA 3000

Kiwanda cha kuchakata bidhaa za ngozi cha Karanga kinatarajiwa kuzalisha ajira 3000 katika fani mbalimbali nchini mara baada ya kukamilika ujenzi wa jengo la kuchakata bidhaa za ngozi lililo katika hatua za mwisho. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, …

Soma zaidi »

WAZIRI ELIMU NDALICHAKO AKAGUA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA

Muonekano wa baadhi ya majengo yanayojengwa katika Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Mkoani Kagera Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amekagua mradi wa ujenzi wa Chuo kipya cha Mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma (VETA) katika  Mkoa wa Kagera. Profesa Ndalichako amefanya ukaguzi huo Januari 9, …

Soma zaidi »

RC ARUSHA APONGEZA KAMPENI YA UJENZI WA MADARASA ARUMERU

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Idd Hassan Kimanta amempongeza mkuu wa wilaya ya Arumeru na uongozi mzima wa halmashauri ya Meru, na Halmashauri ya Arusha Dc kwa hatua nzuri waliyofikia katika ujenzi wa madarasa. Kimanta ambae amefanya ziara ya siku mbili ya ukaguzi wa ujenzi wa madarasa katika halmashauri …

Soma zaidi »