Recent Posts

WAZIRI JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUTENGA MAENEO YA MICHEZO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametoa agizo kwa Halmashauri zote  nchini kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za michezo, huku akiagiza Wakurugenzi katika halmashauri hizo kusimamia vyema miundombinu ya michezo na kuhakikisha maeneo ya michezo hayavamiwi. Jafo ameyasema hayo Februari 08, 2021 jijini Dodoma katika kikao …

Soma zaidi »

DKT MABULA AZINDUA KAMPENI YA KODI YA ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua Kampeni Maalum ya kuhamasisha ulipaji kodi ya Pango la Ardhi yenye kauli mbiu inayosema MWAMBIE MMILIKI WA ARDHI, KODI YA PANGO LA ARDHI INAMHUSU. Katika  kampeni hiyo, Maafisa Ardhi na Wajumbe wa Serikali …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SILINDE ATEMBELEA SHULE ZA TUMAINI NA MILADE SINGIDA

Naibu waziri wa TAMISEMI David Silinde amefanya ziara ya kushtukiza katika shule za Tumaini sekondari iliyopo wilaya ya Iramba na shule ya msingi Milade iliyopo wilaya ya mkalama mkoani Singida kufatilia maagizo yake aliyoyatoa mwezi December 2020. Naibu waziri Silinde ameridhishwa na ujenzi wa madarasa,mabweni na bwalo katika shule ya …

Soma zaidi »

TANZANIA YAWASILISHA OMBI MAALUM AU

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Jamhuri ya Afrika Kusini zimewasilisha ombi maalumu kwa Umoja wa Afrika kuzitambua rasmi njia zilizotumika na wapigania uhuru kutoka Dar es Salaam kupitia nchi mbalimbali Kusini Mwa Bara la Afrika hadi Namibia kuwa urithi wa Kimataifa. Ombi hilo limewasilishwa na Rais wa …

Soma zaidi »

DKT. KALEMANI ASEMA CORONA HAIJAATHIRI UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI

Zuena Msuya Dar es Salaam, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewatoa hofu watanzania kwa kusema kuwa tishio la virusi vya ugonjwa wa corona halijaathiri upatikanaji wa mafuta nchini. Aidha kuna ziada ya mafuta itakayotumika zaidi ya siku 30 na bado meli zinaendeleapakuwa mafuta bandarini. Dkt. Kalemani alisema hayo Jijini …

Soma zaidi »