Recent Posts

WAZIRI MKUU MAJALIWA: VIONGOZI WA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI WAENDELEZWE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema viongozi wote wa Sekta za umma na binafsi wanatakiwa waendelezwe kitaaluma kwa ajili ya kukuza weledi, ubunifu na maadili ili waweze kusimamia ipasavyo maendeleo na kuongeza tija na mapato ya Taifa. Amesema katika kipindi hiki ambacho nchi imeingia katika uchumi wa kati, Serikali ingependa kuona …

Soma zaidi »

CHUO CHA UHASIBU ARUSHA CHASAINI MKATABA NA TFF KUENDELEZA SOKA NCHINI.

Na: Eleuteri Mangi- WHUSM, Arusha. Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano na Shirikisho la Soka nchini (TFF) ili kuendelea kukuza michezo nchini. Rais wa TFF Wales Karia Kushoto na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Prof. Eliamani Sedoyeka Kulia Wakionesha Mkataba wa Ushirikiano Waliosaini Kuendeleza …

Soma zaidi »

TBS YATEKETEZA BIDHAA ZISIZOKIDHI UBORA ZENYE THAMANI YA MILIONI 40

Na Eliud Rwechungura Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa zisizokidhi ubora wa viwango yenye thamani ya shilingi milioni 40 ambazo ziliondolewa sokoni na Wakaguzi wa TBS kanda ya kati kuanzia mwezi Novemba, 2020 hadi Januari 15, 2021. Zoezi hilo la uteketezaji bidhaa hizo limefanyika katika dampo Chidachi – Dodoma, Januari …

Soma zaidi »

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUCHUKUA ARDHI BILA KULIPA FIDIA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amepiga marufuku halmashauri,  Taasisi na Watu binafsi kuchukua maeneo ya wananchi bila kulipa fidia. Akizungumza hivi karibuni mkoani Singida wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa huo, Lukuvi alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya halmashauri na Taasisi …

Soma zaidi »