Recent Posts

VIONGOZI USHIRIKA LINDENI MALI ZA UMMA- KATIBU MKUU KUSAYA

Viongozi wa Vyama vya Ushirika nchini wametakiwa kutumia njia mbadala kulipa madeni ya wanaushirika badala ya kuuza mali ili kulipa madeni hayo.Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya alieanza ziara ya kikazi ya siku tatu ( 18.02.2021) mkoani Kilimanjaro ambapo amebaini changamoto ya uwepo wa madeni …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI KWIMBA MKOANI MWANZA

Naibu Waziri Maryprisca Mahundi akimtua ndoo mama kichwani katika kijiji cha Mwabaratulu Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ikiwa ni ishara ya kumalizwa kero ya maji katika Kijiji hicho. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi  Maryprisca Mahundi (Mb)amezindua mradi wa maji Kijiji cha Mwabaratulu Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza ulioghalimu …

Soma zaidi »

MABALOZI ‘WAMLILIA’ MAALIM SEIF SHARIF HAMAD

Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, ‘wamemlilia’ Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na kumuelezea kwa mema aliyoyafanya enzi za uhai wake hapa duniani. Mabalozi hao wamewasili katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti kwa ajili ya kusaini kitabu cha …

Soma zaidi »

TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI KUFANYIWA MABORESHO

Waziri Kilimo Prof Adolf Mkenda leo ameanza ziara ya kikazi wilayani Mvomero kwa lengo la kukagua miradi ya umwagiliaji na hali ya uzalishaji sukari kwenye kiwanda cha Mtibwa pamoja na kuongea na wakulima. Awali akongea na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mvomero Prof.Mkenda amewataka waendelee kusimamia kazi za kilimo …

Soma zaidi »

WAZIRI UMMY MWALIMU AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA WFP

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bi. Sarah Gordon – Gibson katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao wamekubaliana kushirikiana …

Soma zaidi »