Recent Posts

MWANAMKE SHUJAA ANAYEONGEZA THAMANI YA MPUNGA KAHAMA.

Kupitia uwezeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Elizabeth Mzuringi β€” mnunuzi na mchakataji wa mpunga β€” ameleta mabadiliko makubwa katika sekta ya kilimo-biashara wilayani Kahama. Kwa msaada wa uwekezaji wa mtaji na ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mpunga, Elizabeth ameweza kununua mazao moja kwa moja kutoka kwa …

Soma zaidi »

KUTOKA TANGA HADI SONGWE, KILIMO KINA BENKIKA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒΎ

Safari hii tunachunguza namna kilimo kinavyobadilisha maisha ya Watanzania kutoka Tanga hadi Songwe. Tunazungumza na wakulima, wataalamu, na vijana wanaotumia ubunifu kukuza uchumi kupitia ardhi yao. πŸ‘‰ Utajifunza: Mbinu bora za kilimo cha kisasa Jinsi kilimo kinavyowezekana kuwa biashara yenye faida Mifano halisi ya mafanikio kutoka mikoa tofauti Kilimo si …

Soma zaidi »

DCEA YANASA VIJANA WAKITENGENEZA BISKUTI ZA BHANGI KWA AJILI YA HOUSE PARTY

Katika operesheni maalum iliyofanyika eneo la Mlalakuwa, wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Kudhibiti na Kuapmbana na Dawa za Kulevya (DCEA) wamewakamata vijana wanne wakidaiwa kutengeneza biskuti za bangi kwa ajili ya sherehe ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Watuhumiwa hao ni Bright A. Malisa (26), Humphrey G. Safari …

Soma zaidi »

JE HUU NI WAKATI WA FURSA KATIKA KILIMO NA KUJENGA MNYORORO WA THAMANI..?

Huu ni wakati wa kuchukua hatua katika kilimo! Katika video hii tunazungumzia jinsi sekta ya kilimo inavyobadilika na fursa kubwa zilizopo kwa vijana, wakulima, na wawekezaji. Utajifunza: Jinsi ya kujenga mnyororo wa thamani (Value Chain) wenye tija Njia za kuongeza kipato kupitia kilimo cha kisasa Changamoto na suluhisho katika soko …

Soma zaidi »