Recent Posts

Documentary – SAFARI YA MAISHA BORA

Ni Safari ya Kutembelea Maeneo ya Mradi ya Kitwai, Saunyi na Msomera. Serikali imeendelea kutoa elimu na kuwashawishi wananchi kuhama kwa hiari ndani ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, ambapo Tarehe 14, Septemba 2024 Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro iliandaa safari ya wawakilishi wa wananchi wakiwemo viongozi, malaigwanani na wakaazi …

Soma zaidi »

Serikali imetenga zaidi ya TZS trilioni 1.2 kwa ajili ya miradi ya maji kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024.

Miradi hii imelenga kupunguza changamoto za upatikanaji wa maji safi na salama kwa Watanzania wote, huku lengo kuu likiwa kufikia upatikanaji wa maji kwa asilimia 95 mijini na 85 vijijini ifikapo mwaka 2025. Gusa link hii kuendelea kupata taarifa hii zaidi https://matokeochanya.blogspot.com/2024/10/takwimu-chanya-za-utekelezaji-wa-miradi.html…#KaziIemdelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC

Soma zaidi »