Na, Pius Ntiga, Siha. Zaidi ya ajira 2,000 zimepatikana katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro kwa kipindi cha miaka mitano za wananchi kufanya kazi katika miradi mbalimbali ukiwemo wa Shamba la Mwekezaji la Maparachichi-Africado. Miradi hiyo mikubwa ya Mwekezaji Africado lililopo Kijiji cha Kifufu pamoja na ule wa Shamba la …
Soma zaidi »MAHUSIANO YA TANZANIA NA WAWEKEZAJI NI MAZURI – FONS NIJENHUIS
Na, Pius Ntiga, Moshi Zaidi ya Hekari 250 zinatumika katika uwekezaji wa Shilingi Bilioni 6 tangu Mwaka 2003 na kufanikiwa kutoa ajira kwa Watanzania zaidi ya 1,000 katika Shamba la Mwekezaji wa Maua la Vasso linalomilikiwa na raia wa Uholanzi, Fons Nijenhuis lililopo Kijiji cha Dakau Wilaya ya Moshi Mkoani …
Soma zaidi »MAUZO YA KOROSHO YA TANZANIA YAMEONGEZEKA KUTOKA TANI 27 MWAKA 2017 HADI KUFIKIA TANI 1007 MWAKA 2020 NCHINI CHINA
China imeahidi kununua zaidi bidhaa za kilimo na Uvuvi kutoka Tanzania ahadi hiyo imetolewa leo jijini Beijing katika Mkutano wa Balozi Kairuki na Rais wa Taasisi ya China Chamber of Import and Export of Foodstuff Ndugu CAO Derong Mauzo ya bidhaa za baharini kutoka Tanzania Bara na Zanzibar- Ornament Spinal …
Soma zaidi »BALOZI MBELWA ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA TEKNOLOJIA YA KUZALISHA UMEME WA JUA NCHINI CHINA
Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen ambapo amesema kuwa ujumbe wa kampuni hiyo utatembelea Tanzania mwezi Desemba 2020 …
Soma zaidi »SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 32.9 KUTOKA AIRTEL
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (wa kwanza kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano akifafanua jambo baada ya Kampuni hiyo kutoa gawio na michango ya maendeleo kwa Serikali yenye thamani ya shilingi bilioni 32.99. Kuanzia …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA KUANZA KUTAFUTA MASOKO
Muonekano wa baadhi ya Majengo ya Kiwanda hicho yaliyojegwa katika awamu ya kwanza (LOT 1) yakiwa yamekamilika. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza uongozi wa Kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kutafuta masoko ndani …
Soma zaidi »WAZIRI BASHUNGWA AMEAGIZA KUSITISHWA UTOAJI WA LESENI ZA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE, AMEELEKEZA TIMU MAALUM KUCHUNGUZA MIKATABA
Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na biashara Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza katibu Mkuu wa wizara ya viwanda na Biashra Prof. Riziki Shemdoe kusitisha utoaji leseni mpya ya uchimbaji wa makaa ya mawe kwa kampuni ya TANCOAL ENERGY LIMITED na ameagiza timu maalum kuchunguza …
Soma zaidi »PROF. SHEMDOE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZALISHAJI WA SARUJI NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe akizungumza na wamiliki wa viwanda vinavyozalisha saruji (pichani) kuhusu changamoto za bei ya saruji katika maeneo mbalimbali nchini, mkutano huo ulifanyika katika Eneo huru la Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje ya Nchi (EPZA), Jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MPANGO WA UENDELEZAJI WA VIWANDA VIDOGO NA VYA KATI JIJINI DODOMA
NA. MWANDISHI WETU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amezindua Mpango wa Uendelezaji wa Viwanda Vidogo na vya Kati wenye lengo la kutatua changamoto ya upatikanaji wa ujuzi, masoko na mitaji katika miradi midogo …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: SERIKALI IMEFUTA TOZO 163 KUWAONDOLEA USUMBUFU WAFANYABIASHARA
Na Mwandishi Wetu,MAELEZO-DAR ES SALAAMWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Serikali kupitia mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara nchini (Blue Print) imeweza kufuta tozo 163 kati ya 173 zilizokuwa zikisababisha kero na usumbufu kwa wafanyabiashara nchini.Akizungumza katika ufunguzi wa Maonyesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DIFT) …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+