WIZARA YA VIWANDA

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MWAMBE AMEIAGIZA EPZA KUJIKITA KATIKA UJENZI WA MAENEO MAPYA YA VIWANDA KULINGANA NA BIASHARA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) akiongea na menejimenti na watumishi wa EPZA alipofanya ziara akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa Wizara ya Viwanda na Biashara Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe …

Soma zaidi »

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMEWATAKA WATUMISHI WA TBS NA WMA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe wakuwa wameambatana na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Athuman Ngenya wakipokea maelezo kutoka Mkuu wa maabara ya kemia, Florian Bataganwa wakati wakikagua maabara za Shirika la Viwango Tanzania …

Soma zaidi »

GEOFREY MWAMBE, WAZIRI MTEULE WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA

Waziri mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Mbunge wa Masasi, Mhe. Goodfrey Mwambe (shati ya bluu bahali) akipata maelezo ya bidhaa za vifungashio zinachozalishwa hapa nchini wakati alipotembelea Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyoanza tarehe 3 -9 Desemba, 2020 kwenye Uwanja wa Maonesho wa …

Soma zaidi »

HAKIKISHENI BIDHAA BANDIA HAZIINGI NCHINI -WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka zote za udhibiti zihakikishe kuwa bidhaa zinazoingizwa nchini kwa ajili maonesho mbalimbali zinakuwa na viwango vya kimataifa na pia bidhaa zisizo na viwango na bidhaa bandia hazipati nafasi ya kuingia kwenye soko la Tanzania. Hata hivyo, Waziri Mkuu amewataka wamiliki wa viwanda wazalishe bidhaa …

Soma zaidi »

PROF. SHEMDOE AILEKEZA TANTRADE KUANDAA MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDA KILA ROBO YA MWAKA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe akitoa maelezo ya ufafanuzi muda mchache baada ya ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya taasisi za Serikali pamoja na wamiliki wa viwanda nchini,  05 Desemba 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K Nyerere – Dar es Salaam. …

Soma zaidi »

MAONESHO YA TANO YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA KUFANYIKA KUANZIA TAREHE 3 – 9 DISEMBA 2020

Dar es Salaam Wizara ya Viwanda,na Biashara kupitia taasisi yake ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inawakaribisha Watanzania wote kutembelea Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yatakayoanza tarehe 3 hadi 9 Desemba, 2020. Uanzishwaji wa Maonesho haya yalilenga kuhakikisha Ujenzi wa Uchumi wa Viwanda unakuwa …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI – WATANZANIA WOTE TUENDELEA KUDUMISHA AMANI AMBAYO NI MUHIMU KWA MAENDELEO YETU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia zawadi ya viatu alivyokabidhiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee (kushoto) baada ya kufungua rasmi kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la Karanga mjini …

Soma zaidi »

SERIKALI YAKUTANA NA WAZALISHAJI WA SARUJI NCHINI

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki  wamefanya kikao cha pamoja na wazalishaji wa saruji nchini kwa lengo la kujadili fursa mbalimbali, changamoto na namna bora ya kukuza sekta ya ujenzi nchini kupitia saruji, kikao kilichofanyika …

Soma zaidi »