KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Soma zaidi »MELEFU WAJITOKEZA KUPATA ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA UZINDUZI MSLAC MKOA WA 17 WA KILIMANJARO TAREHE 29/1/2025
Kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imepiga hatua kubwa tangu ilipoanzishwa, na uzinduzi wa mkoa wa 17 Kilimanjaro mnamo 29 Januari 2025 ni uthibitisho wa mafanikio yake katika kuenea kitaifa. Hapa ni tathmini ya maendeleo ya kampeni hii tangu kuanzishwa kwake: 1. Ufanisi wa Kampeni Hadi Sasa – MSLAC …
Soma zaidi »WAZIRI NDUMBARO: KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YAWAFIKIA WATANZANIA 775,119
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amesema kuwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inayoendelea kutekelezwa nchini imefanikiwa kuwafikia Watanzania 775,119 kutoka mikoa 11 hadi kufikia tarehe 24 Januari 2025. Kampeni hii inalenga kuwasaidia wananchi kupata elimu na msaada wa kisheria ili kutatua changamoto mbalimbali …
Soma zaidi »Mhe. Dkt. Philip Mpango katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma iliyotolewa na Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Chama hicho yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa …
Soma zaidi »Mkutano wa 21 wa Majaji wa Afrika Mashariki. Fursa kwa Haki, Ushirikiano, na Maendeleo ya Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 03, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Ishirini na Moja wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Grand Melia, jijini Arusha Mkutano wa Ishirini na Moja wa Chama …
Soma zaidi »UZALENDO NI FIKRA CHANYA+ NA KIPIMO CHA UTU KULINGANA NA KATIBA NA MILA ZA TANZANIA
Uzalendo ni fikra chanya na kipimo cha utu kulingana na katiba ya Tanzania na mila na desturi zake. Katika muktadha huu, uzalendo unamaanisha upendo na kujitolea kwa nchi yako, kuwa tayari kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi. Hii ni sehemu muhimu ya utamaduni na maadili ya Watanzania. Uzalendo …
Soma zaidi »Mapitio ya Utekelezaji na Mwenendo wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024
A. MUUNDO NA MAJUKUMU YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA 1. Mheshimiwa Spika,muundo na majukumu ya Wizara yameainishwa katika ibara ya 17 na 18ya Kitabu cha Hotuba yangu. B. MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 2. Mheshimiwa Spika, masuala yaliyozingatiwa na maeneo …
Soma zaidi »Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za Watoto
Tarehe 4 hadi 5 Aprili 2024, umefanyika Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za Watoto katika Hoteli ya Four Points, Jijini Arusha. Mkutano huu ulikuwa na lengo la kujadili masuala yanayohusu ulinzi na ustawi wa watoto katika mifumo ya kisheria nchini Tanzania. Mkutano huo uliendeshwa na Mheshimiwa Dkt. Pindi …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATAKA KISWAHILI KUTUMIKA MAHAKAMANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wafanyakazi wa Mahakama, Majaji pamoja na wananchi wa mkoa wa Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+