WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

TATIZO SIO KATIBA MPYA, NI MITAZAMO (ATTITUDE) – WAKILI BONIFACE MWABUKUSI

Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi, anatoa mtazamo tofauti kuhusu changamoto za taifa. Anasisitiza kuwa hoja si kuandika Katiba mpya tu, bali ni kuongozwa na mitazamo sahihi ya kiuongozi, maadili, na uzalendo. ▶️ Sikiliza kauli hii yenye kutikisa fikra za kawaida. 🔔 Subscribe ili kupata maoni ya ujenzi wa Taifa …

Soma zaidi »

TUOMBE KWA AJILI YA TAIFA LETU – BONIFACE MWABUKUSI

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa wito wa kitaifa wa maombi kwa ajili ya Tanzania, akiwasihi Watanzania wote kumgeukia Mungu kwa unyenyekevu na toba ili taifa lirudi katika mstari wake sahihi wa haki, maadili, umoja na heshima. Katika ujumbe wake, alioutoa kwa sauti ya matumaini …

Soma zaidi »

MAMLAKA YA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA YATUMIA NGUZO KUU NNE KUPAMBANA NA JANGA LA DAWA ZA KULEVYA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya matumizi na usambazaji wa dawa za kulevya nchini. DCEA inatekeleza jukumu hili kwa kutumia nguzo kuu nne ambazo ni: kupunguza upatikanaji wa dawa za kulevya, kupunguza uhitaji, kudhibiti madhara na kuimarisha ushirikiano …

Soma zaidi »

TAKUKURU: BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA INAPITA PENYE RUSHWA, RUSHWA IKIDHIBITIWA TZ INAKUWA SALAMA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ni mdau muhimu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini, hasa inapohusiana na kushughulikia mianya ya rushwa inayochochea biashara hiyo haramu. TAKUKURU imekuwa kiungo muhimu katika kuhakikisha kila mtumishi wa umma anayetakiwa kutekeleza wajibu wa kudhibiti dawa za kulevya anafanya hivyo …

Soma zaidi »

LIVE:WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA – DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, amezindua rasmi Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia jijini Dar es Salaam. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wote, hususan makundi yenye uhitaji kama wanawake, vijana, wazee, na watu wenye …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIMUAPISHA JAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akimuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Ikulu Chamwino-Dodoma, leo tarehe 15 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »