Bi. Scolastica Ernest Lole ni miongoni mwa wananchi walioguswa moja kwa moja na fursa za ajira kupitia mradi wa uchimbaji wa madini ya urani unaoendeshwa na Kampuni ya Mantra Tanzania Ltd. Akiwa mfanyakazi wa Ako Group Ltd kampuni iliyopewa zabuni ya kutoa huduma ya chakula, usafi wa mazingira na malazi …
Soma zaidi »UZINDUZI WA KIWANDA CHA MAJARIBIO CHA KUCHENJUA URANI KATIKA ENEO LA MTO MKUJU NI NEEMA KWA TAIFA
Urani Mto Mkuju: Mlango Mpya wa Maendeleo na Uchumi wa Juu kwa Tanzania Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani katika eneo la Mto Mkuju, mkoani Ruvuma, umetajwa kuwa hatua muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Bwana Menani Lameck Ezekia, mtaalamu …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.
Soma zaidi »LIVE: MAONESHO YA SABASABA, SIKU YA MAZINGIRA: 6 JULAI 2025
Daraja la J. P. Magufuli ni alama ya maendeleo ya kisasa na heshima kwa urithi wa uongozi wa awamu ya tano
Linaendeleza dira ya Tanzania ya kuwa na miundombinu ya kisasa inayochochea uchumi, kuunganisha watu na kuboresha maisha ya kila Mtanzania. #MatokeochanyA #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Sekondari za Amali 103 Rasmi Kujengwa
Shule za amali husaidia vijana kupata ujuzi wa kazi, kukuza ajira, kupunguza umasikini, na kuchangia maendeleo ya viwanda na uchumi wa taifa kwa vitendo. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #oktobatunatiki
Soma zaidi »KIWANDA CHA UCHAKATAJI WA PAMBA – SIMIYU
Muonekano wa Kiwanja cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kiwanda cha utengenezaji wa mabomba ya maji na uchakataji wa pamba kilichopo Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16/06/25 #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu
#MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa Kiwanda cha MOLI Oil Mills Co. Ltd Milembe Gugu Silanga kuhusu utengenezaji wa mabomba ya maji kiwanda hicho Bariadi mkoani Simiyu
#MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »ZIARA YA RAIS DKT SAMIA SIMIYU
Muonekano wa Kiwanja cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kiwanda cha utengenezaji wa mabomba ya maji na uchakataji wa pamba kilichopo Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »