Tanzania MpyA+

JPM – Ninachowaomba nyinyi wasomi na Watanzania wote tuwe wazalendo, tusikubali kutumiwa

“Ninachowaomba nyinyi wasomi na Watanzania wote tuwe wazalendo, tusikubali kutumiwa, tuchape kazi na tushikamane kwa kuweka mbele maslahi ya Taifa letu” amesisitiza Mhe. Rais Mafuguli. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema hayo katika kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kujadili hali ya uchumi na siasa nchini …

Soma zaidi »

SERIKALI YAANZA MAZUNGUMZO NA UJERUMANI YA MGAO WA MAPATO YATOKANAYO NA MJUSI MKUBWA ‘DINOSAUR’ KUPITIA WATALII

Serikali ya Tanzania kupitia Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Japhet Hasunga  imesema ipo kwenye hatua za awali za mazungumzo na Serikali ya Ujerumani kuona jinsi itakavyofaidika na mapato yatokanayo na utalii  kupitia mabaki ya Mjusi mkubwa ‘’Dinosaurs ambaye ni kivutio cha kikubwa cha  utalii  katika jumba la  Makumbusho nchini …

Soma zaidi »

MARUFUKU KUPIMA MASHAMBA BILA KUPANGWA – WAZIRI LUKUVI

Serikali imezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha zinatoa vibali vya ujenzi wa nyumba ndani ya siku tatu na kazi hiyo isimamiwe na Maofisa Mipango Miji. Aidha, imesisitiza kuwa zoezi la urasimishaji katika maeneo yaliyojengwa nyumba kiholela lazima yarasimishwe na zoezi hilo halitakiwi kubomoa nyumba ya mtu yoyote. Kauli hiyo imetolewa leo …

Soma zaidi »